Hivi Punde!

WARSHA YA SIKU MBILI JUU YA ASASI ZA KIRAIA NA VYAMA VYA SIASA KUJADILI MAENDELEO YAMALIZIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM, WARSHA HIYO ILIRATIBIWA NA TCD

Benedict A. Ishabakaki akifafanua masuala kadhaa ambayo asasi za kiraia kwa kushirikiana vyama vya kisiasa vinaweza kufanya kazi pamoja.
 Makamu Mwenyekiti wa TCD ,Ndugu Ambali Khamis Haji akifunga rasmi warsha hiyo ya siku mbili ambayo ilihudhuriwa na vyama vya kisiasa na visivyo vya kisiasa.

No comments