Hivi Punde!

PINDA AAGANA NA BALOZI WA INDONESIA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya kinyago cha chui, Balozi wa Indonesia nchini, Bw. Yudhistiranto ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 4, 2012 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments