Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na viongozi wengine akiwa amekaa baada ya kusimikwa tena kuwa Chifu wa Wasukuma eneo la Migato, Itimila, leo. |
Katibu wa Itikadi na Uebnezi wa CCM, Nape Nnauye akinywa kahawa katika Kijiji hicho |
Kinana akikagua moja ya vyumba vya madarasa katika Shule ya Sekondari ya Kata ya Kanadi katika Kijiji cha Nanga wilauyani Itimila |
Mwenyekiti wa UVCCM, Mkoa wa Simiyu,Njalu Silanga akitangaza kuchangia fedha kwa ajili ya kuweka kuweka umeme wa jua pamoja na kununua TV kwa ajuli ya shule ya Kanadi wilayani Itmila leo |
Kinana akiondoka baada ya kukagua Zahanati ya Nangale, wilayani Itimila |
Kinana akiwa amekaa huku akiwa amaevalia kitemi na fimbo yake. |
Akinywa maji kwa kutumia kikombe cha jadi |
Kinana na viongozi wengin wakila chakula cha asili cha kabila la wasukuma cha Mchembe kinachotokana na viazi vilivuokaushwa |
Kinana akisaidia kupiga plasta jengo la Ofisi za Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya mpya ya Itimila |
Kinana akiapandamtu katika kiwanja patakapojengwa ofisi za Mkuu wa Wilaya mpya ya Itimila |
Makao Makuu ya Muda ya Ofisi Mkuu wa Wilaya ya Itimila |
Dereva wa msafara wa Kinana akisaka mtandao kabla ya kuanza kupiga simu. Katika wilaya hiyo mpya inapatikana mitandao ya Vodacom na Tigo |
Kinana akiwa katika mkutano wa wandani na wanachama wa wilaya hiyo |
Katibu wa Utikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akihutubia katika mkutano huo wa hadhara |
Kinana akihutubia katika mkutano huo wa hadhara leo wilayani Itimila PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
0 Comments:
Post a Comment