Hivi Punde!

JAJI WARIOBA AFUNGUA KONGAMANO LA TAHLISO

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph .S. Warioba (aliyesimama)  akizungumza wakati kongamano la kujadili katiba lililofanyika katika ukumbi wa karimjee Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa na Umoja wa Wanafunzi wa Elimu ya juu nchini (Tahliso). Kulia kwake ni Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe na kushoto kwa Jaji Warioba .ni Mwenyekiti wa Tahliso, Paul Makonda. PICHA KWA HISANI YA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

No comments