HABARI

 

Thursday, July 26, 2012

RAIS KIKWETE AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA KATIKA BUSTANI YA MNAZI MMOJA

0 Comments
Rais akimsalimia Mkuu wa Majeshi, Jnenerali Dabis Mwamunyange baada ya kuwasili Mnazi Mmoja
 Wimbo wa Taifa
 Askari wa JWTZ wakiwakumbuka mashujaa
 Askari wa zamani wa Tanzania Legion
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Juli 25, 2012 ameongoza Watanzania katika kuadhimisha siku ya Mashujaa Kitaifa katika Bustani ya Mnazi Mmoja Dar es salaam.
Zifuatazo ni taswira ya hafla hiyo ya kila mwaka. Picha na Ikulu.
 Kiongozi wa Mabalozi na Balozi wa DRC Nchini Mhe Khalfan Mpango akiweka shada la maua
 Meya wa Jiji la Dar es salaam Mstahiki Dkt Didas Masaburi akiweka upinde na mshale
 Mwenyekiti wa Wazee wa Dar es salaam Mzee Rashidi Bakari Ngonja akiweka shoka.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na baadhi ya Wazee waliopigania Uhuru wa Tanzania wakati wa Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya
Mashujaa,yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mnazi mmoja palipojengwa Mnara Jijini Dar es Salaam.(Picha na Ramadhan Othman,ORZ)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam,Didas Mtatiro, wakati wa Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa,yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mnazi mmoja palipojengwa Mnara Jijini Dar es Salaam
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik, baada ya kumalizika hafla ya Maadhimisho ya
siku ya kumbukumbu ya Mashujaa,yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mnazi mmoja palipojengwa Mnara Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ramadhan
Othman,ORZ)
Baadhi ya Wananchi wa Jijini Dar es Salaam waliohuduria katika Maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa,yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mnazi mmoja palipojengwa Mnara Jijini Dar es
Salaam,wakifuatilia kwa makini utaratibu wa shuhuli ulivyoendelea.

0 Comments:

Post a Comment