Hivi Punde!

KIKAO CHA NEC YA CCM LEO, MAY 24, 2015 MJINI DODOMA


 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa, CCM, wakianza kuingia ukumbini kwa ajili ya Kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, NEC, kinachoendelea leo, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma

 Mjumbe wa NEC, Samwel Sitta akisalimiana na Murad nje ya ukumbi
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akienda ukumbini
 Mjumbe wa NEC, Edward Lowassa aakisalimia wananchi nje ya ukumbi
 Katibu Mkuu wa CCM, Sixtus Mapunda akisalimia baadhi ya wajumbe nje ya ukumbi
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Usi Yahya Haji kutoka Kaskazini Unguja, akimsalimia mjumbe mwenzake, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu wakati wakijiandaa kuingia ukumbini.
 Mjumbe wa NEC, Steven Wassira akifurahia jambo na wajumbe wenzake. Kushoto ni Abdallah Bulembo na watatu kushoto ni  Kilumbe Ng'enda
 Wajumbe wa NEC kutoka mkoa wa Kigoma wakishauriana jambo nje ya ukumbi
 Mjumbe wa NEC, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akienda ukumbini huku wadau wakiwa na hamu ya kumsalimia
 Wajumbe wa NEC, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu wa UVCCM, Martin Shigella na Profesa Mark Mwandosya wakisalimiananje ya Ukumbi. Katikati ni Ridhiwani Kikwete
 Januari Makamba akisalimiana na Jerry Silaa nje ya Ukumbi
 Mjumbe wa NEC, Amina Salum Ali akisalimiana na Mwenyekiti wa UWT Sophia Simba nje ya ukumbi, kabla ya kikao cha NEC kuanza leo.
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM,  Bernard Membe na Nazir Kalamagi wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha NEC kuanza.
Mjumbe wa NEC, Profesa Mark Mwandosya akijadili jambo na wajumbe wenzake ukumbini. Wapili kulia ni Katibu Mkuu wa CCM mstaafu zee Mukama, Dk. Chegeni
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akisalimiana na wajumbe wenzake wa NEC, ukumbini

Waalikwa kutoka vyombo vya habari vya CCM na cha Serikali, wakiwa ukumbini. Kutoka kshoto ni Angel Akilimali (Uhuru FM), Joseph Kulangwa (Uhuru Publications Ltd, na Gabriel Nderumaki kutokaDaily News.
 Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Hamis Sadifa, kabla ya kikao kuanza. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
 Wajumbe wakiwa ukumbini
 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, wakiwa kwenye kikao hicho. mstari wa mbele kutoka kushoto ni, Dk. Salim Ahmed Salim, Shamsi Vuai Nahodha, Pandu Kificho na Katibu Mkuu wa CCM, mstaafu, Wilson Mukama.
 Wajumbe wakiwa ukumbini
 Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba na Spika wa Bunge Anna Makinda.
Wajumbe ukiwa umejaa wajumbe
 Wajumbe wakiwa wamesimama kumpokea Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete wakati akiingia ukumbini.
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kabla ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kuanza leo, mjini Dodoma
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa ukumbini tayari kuongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Kushoto ni ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha zote na Bashir Nkoromo- wa CCM na theNkoromo Blog) Picha za mwanzo tafadhali BOFYA HAPA

No comments