Hivi Punde!

KAMPENI ZA CCM LEO KUWANIA KITI CHA UBUNGE KALENGA

Wananchi wa Kijiji cha Kikombwe wakinyoosha mikono kuthibitisha kumchagua mgombea wa CCM katika jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa wakati wa mkutano uliofanyika katika kijiji hicho.
Mgimwa (kulia) akiomba kura katika kijiji cha  Kikombwe
Mgombea akiselebuka na wananchi wakati Msanii Dokii (wapili kishoto) akihamasisha, katika Kijiji cha Kikombwe kabla ya shughuli ya kuomba kura.
Msanii Dokii (kulia)akihamasisha wananchi katika kijiji cha  Lupembelwasenga
Wananchi katika Kijiji cha Kikombwe wakimsikiliza Mgimwa kwa makini
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Salum Mtenga akizungumza na waandishi a habari leo, katika Ofisi ya CCM ya mkoa huo, kuhusu mambo yanavyoendelea katika kampemni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga.
Mikono wa Michuzi Media Group, Hamad Michuzi akiseti kamera yake kupata mambo safi kwenye mkutano wa kampeni hizo za CCM
Changamoto: Gari la waandishi wa habari likitengenezwa baada ya kupata panchari wakati wakirudi kambini

1 comment:

  1. haya sasa tuwaone wale wanaotetemeka,wengi wanasema chama tawala mwaka kesho kijipenge lakini pia kwa mbali vyama pinzan pia vinateTEMEKA au unaniambiaje mdau

    ReplyDelete