HABARI

 

Thursday, July 25, 2013

MAWAZO YA BARA LA KATIBA LA ALAT KUHUSU RASIMU YA KATIBA MPYA HAYA HAPA

0 Comments
Baraza la Katiba la Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania linapendekeza yafuatayo:
  Kwenye maelekezo ya awali (preamble) msingi wa upelekaji wa madaraka kwa wananchi uwekwe kama moja ya dhana muhimu ya nchi ya Tanzania inayotakiwa au iliyo ndoto ya watanzania wengi kama maoni yanavyoonyesha;
  Tusiwe na Serikali tatu tuwe na serikali mbili na kila serikali nyingine kuingilia serikali nyingine.
  Katiba iwe na sura kamili ambayo itaeleza misingi ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa kama mamlaka kamili ya Serikali (Sphere of Government) katika ngazi za Serikali za Mitaa chini ya Mfumo wa Serikali moja ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
WAJUMBE WA BARAZA LA KATIBA LA JUMUIYA YA TAWALA ZA MITAA TANZANIA KATIKA PICHA WAKIONGOZWA NA  MWENYEKITI WA BARAZA HILO DK. DIDAS MASABURI AMBAYE PIA NI MGENI RASMI KATIKA BARAZA HILO MOJA KATI YA MAENEO WALIOPENDEKEZA NI

0 Comments:

Post a Comment