Hivi Punde!

VIONGOZI WA SADC WAFANYA KIKAO CHA DHARURA LEO JIJINI DAR ES SALAAMRais Jakaya Kikwete, akikaribisha viongozi wenzie wa nchi za SADC katika  kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012

Rais Jakaya Kikwete, Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini, Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia na Katibu Mkuu wa SADC Dk.Tomaz Salomao pamoja na Mawaziri wa nchi hizo wakipitia rasimu ya muhtasari wa kikao kabla ya kuanza kwa kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012
 Rais Jakaya Kikwete, katika picha ya pamoja na  viongozi wenzie wa nchi za SADC katika  kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo Desemba 8, 2012. PICHA ZOTE NA IKULU, DAR ES SALAAM,TANZANIA.

No comments